Song Lyrics Search Engine

Lyrics  »  National Anthem lyrics  » 

tanzania native anthem text lyrics

national anthem
Artist: national anthem
Song: tanzania native anthem text
1.
Mungu ibariki Africa
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na
Amani Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake.
Chorus:
Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika.
2.
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.
Chorus:
Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania.
Sent by Carlos André Pereira da Silva Branco
national anthem
tanzania native anthem text lyrics
by national anthem lyrics
xtc
rook lyrics
by xtc lyrics
queen
marriage of dale and ming lyrics
by queen lyrics
Latest Lyrics Additions: Hey Zeus the Dungeon / Snake In The Grass / Homies / G Check / Fuck The Club Up / Bricksquad / San Antonio Baby / Two Houses / To Me / One Less / Broken Girl / Hit the Parking Lot / Troubled World Pt.2 / Party / I Still / Everyday Struggle / Change / Can't Stay Away / The Perfect Space / I And Love And You