Song Lyrics Search Engine

Lyrics  »  National Anthem lyrics  » 

kenya native anthem text lyrics

national anthem
Artist: national anthem
Song: kenya native anthem text
KiSwahili
(verse:1)
Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na udugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.
(verse:2)
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya
Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda
(verse:3)
Natujenge taifa letu
Ee, ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono
Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani
Sent by Carlos André Pereira da Silva Branco
national anthem
kenya native anthem text lyrics
by national anthem lyrics
zz top
brown sugar lyrics
by zz top lyrics
chamillionaire
shut up lyrics
by chamillionaire lyrics
charon
drive lyrics
by charon lyrics
Latest Lyrics Additions: Hey Zeus the Dungeon / Snake In The Grass / Homies / G Check / Fuck The Club Up / Bricksquad / San Antonio Baby / Two Houses / To Me / One Less / Broken Girl / Hit the Parking Lot / Troubled World Pt.2 / Party / I Still / Everyday Struggle / Change / Can't Stay Away / The Perfect Space / I And Love And You